kijana Bruno kims akiwa na Lowassa nyumbani kwake monduli kabla ya hajakamatwa na polisi
Hii ndio post ambayo imesababisaha kijana huyu awekwe SEREGEREA MPAKA MUDA HUU
Huyu kijana anajulikana kama Bruno Kims alikamatwa na vyombo vya usalamaa baada ya kuandika post ya kupongeza majambazi waliovavamia kituoa cha STAKI SHARI,Kwahiyo mpaka muda huu yupo regerea!!!!
Kwahiyo ataweza kupiga kura hapo kesho licha alikuwa ni mfuasi mkubwa wa Lowassa

vyombo vya habari pia viliandika tukio hili


0 comments:
Post a Comment