UCHURO? Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ ametabiri kile kinachoweza kuitwa ‘wosia wa kifo chake’ kwa kuweka wazi mazingira ambayo angependa yafanyike siku atakapotangulia mbele ya haki.
Mwanamitindo Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’.Akizungumza na gazeti hili juzi, mmoja wa rafiki wa Jokate (jina tunalo), alisema staa huyo anapenda msiba wake uwe na mazingira yanayoendana na hadhi yake ikiwemo jeneza lililopambwa kwa vito vya thamani na kaburi zuri.
0 comments:
Post a Comment