Friday, October 16, 2015

 Na Mwandishi Wetu:- Kamanda mpya wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, amabye kuja kwake Mbeya kuliambatana na shinikizo la kusimamia  kuibuka upya kwa wimbi la uhalifu wa kutumia silaha aina ya nondo. Miezi Tisa tu toka aje hapa Mbeya Matunda ya ujasiri na busara za kazi yake zimeshaanza kuonekana hasa kupungua kwa uhalifu huo. Wananchi wengi wa Mkoa wa Mbeya wameupokea ujio wake kama jawabu la uhalifu sugu ambao umekuwa unalisumbua sana Jiji na Mkoa wa Mbeya.


0 comments:

Post a Comment