Posted by Williammalecela.com on Sunday, October 04, 2015
MWENYEKITI
wa chama cha DP Mch. Christoper Mtikila siku moja kabla ya kifo chake
aliwataka wakazi wa mkoa wa Njombe kuto chagua rais baada ya kuingia
katika chuma cha Uchaguzi Octaba 25 mwaka huu kwa kuwa yeye wagombea
uraisi wote walio simamishwa na vyama vingine hapa nchini anaona
wanadosari.
0 comments:
Post a Comment