Kata ya Malula Arumeru. Tumeshashinda kwa ngazi ya udiwani. Ubunge na Urais pia tumeongoza
2."kauli ya pili kutoka kwa Mhe Joshua Nassari "
.Nipo huru, sijashikiliwa na polisi. Nilikwenda polisi kuwapeleka
waalifu 3 waliowekwa chini ya ulinzi na wananchi wa kata ya seela
sing'isi walipojaribu ku-rig uchaguzi. Walikutwa na mapanga mapya 3,
faru moja na bastola moja ikiwa na magazine moja yenye risasi 9.
Nimewaacha polisi Usa River sasa. Nao ni Bariki Ayo(mdogo wake ma
mgombea wa ccm) Paul Mafie na mwingine mmoja.
TUNAONGOZA KWA KURA NYINGI ZA KISHINDO.
TUNAONGOZA KWA KURA NYINGI ZA KISHINDO.
0 comments:
Post a Comment