Wanao shangaa kuondoka kwa Mh Juma Mwapachu ni kati ya wale wasio mjua vizuri au wale ambao hawafuatilii siasa za tanzania na watanzania nchini vizuri
Mh Mwapachu alichelewa kuondoka Na Leo ametimiza kuondoka . Na tulijiuliza alichelewa
Ila namlaumu kwa kosa moja kwa kuondoka kwa kisinginzio cha kusema "ccm imepoteza dira" hapana katika hilo amepepesa macho na ajisahihishe ili kutimiza adhima yake vizuri kwa usahihi
Sipingani na Uhuru wake wa kuondoka napingana na hiki alicho kitanguliza mbele la ccm kupoteza dira , Mimi nasema yeye ndiye amepoteza dira ya kidemokrasia ndani YAKE ntaeleza kwa nini naamini hivyo
Ndani ya ccm , ndani ya marafiki wa ccm ndani ya marafiki wa Mh lowassa Mwenyewe kuna watu walijiwekea uhakika wa asilimia kubwa kwamba kwa lazima ndani ya ccm rais ajaye ni Mh lowassa , bila kupumi na kujiwekea akiba ya kupima vigezo vya ushindani ambayo ndio msingi mkuu wa demokrasia
Waliamini hivyo, au walijiaminisha hivyo , wakasahau kwamba ndani ya chama cha mapinduzi na nje ya chama cha mapinduzi kuna watanzania weengi wenye sifa na uwezo wa kuweza kuiongoza Tanzania
Hivyo wakaanza taratibu kuugua ka ugonjwa wa ulowassa ulowasaa ulowassa hivyo wakatoka katika ajenda ya kutizama ki chama na kitaifa wakawa wanaona ulowassa lowassa kichwani taratibu , Na ugonjwa huu ulipo watafuna sana Mimi nauita ugonjwa mbaya sana kwa sababu hata watu walio kuwa na heshima zao katika jamii, viongozi wakongwe nao wakakubwa na ugonjwa huu taratibu na mwisho wake ndo huu , ugonjwa wa kuabudu MTU na kumuona bila yeye mambo hayataenda Na wakasahau kuna michujo ya kuwapata wagombea bora ndani ya chama ambayo hiyo ndio misingi bora ya demokrasia ambayo tulipaswa kuwaona wakipigania wao kama wakongwe
Kwanza kwa kuamini hivyo kwa MTU ambaye anaamini katika msingi ya ki demokrasia ni kunyongorota demokrasia , unaita watu washindane kumbe kichwani una MTU wako
Lakini kesi ya Mh Mwapachu ni ndefu kidogo ndio maana tunasema alichelewa kwa sababu , Mh Mwapachu alianza kuwa mfuasi wa Mh lowassa toka mwaka 1995, ambapo Mh lowassa aligombea nafasj ya urais kwa mara ya kwanza pia(, wao wanajiita wana mtandao ni upuuzi kabisa) wakati huo baba wa taifa yuko hai akaliondoa jina la Mh lowassa , Leo wanayafanya haya wakijua baba wa taifa hayupo Na hivyo wakamsingizie ili kuungwa mkono . Na kwa hiyo ugonjwa wa Mh Mwapachu una root ndefu sana na amejieleza vizuri pia mafunfamano yake na mh lowasaa toka mwaka 1990 Na tunasema angebaki huku kulikuwa ni kuisaliti nafsi YAKE
Kwa hiyo Hawa wakongwe kusema ccm imepoteza dira just kwa sababu hajachaguliwa MTU wao kukubaliana na hoja hiyo ni tu kwa kisingingizio hivyo udhaifu mkubwa sana , tunachoweza kusema ni wao kupoteza dira ya kidemokrasia ndani ya fikra zao kwa kuamini ccm ilikuwa na mgombea mmoja tu Edward Ngoyai Lowassa
Tunapokuja katika swala la mwisho kabisa ni je hawa wenzetu pamoja na ukongwe wao na umarufu wao wanazitizama VIP sababu zilizo tumika kumuondoa Mh lowassa kwenye kinyanganyiri kwa masilahi ya nchi Na chama? Wamezitafsri ? Wame wahi kuzizungumzia kwa kuzitolea ufafanuzi yakinifu?
Sababu zilizotumika kumuengua Mh lowassa mwaka 95 Na baba wa Taifa ndo hizo hizo zilizotumika kumuondoa Mh lowassa katika term hii hivyo kwa masilahi mapana ya taifa letu hawa wakongwe katika chama tutazidi kuwakumbuka michango yao lakini katika hili tutawapuuza

Ni upuuzi kwa mwapachu kusema democrasia ndani ya ccm haikufuatwa kisa mtu wao hakuchaguliwa. Je chadema walifuata katiba kumchagua lowasa kugombea?
ReplyDeleteNi upuuzi kwa mwapachu kusema democrasia ndani ya ccm haikufuatwa kisa mtu wao hakuchaguliwa. Je chadema walifuata katiba kumchagua lowasa kugombea?
ReplyDelete