Ni vitu vingi huwa vinatokea kwenye hii dunia na tayari wamemiliki headlines kwa kugundua vitu vya kipekee mfano gari linalojiongoza lenyewe pamoja na mengine mengi lakini bado hawajachoka kuja na vitu vya aina nyingine kwenye maisha ya kila siku.
Leo hii kupitia stori kutoka Uingereza ni kuhusu ukumbi wa CINEMA ambao watu wanatazama movie wakiwa ndani ya ‘mabeseni’ yenye maji ya moto na vinywaji vyao pembeni.

Hii ni aina ya kumbi za Cinema tulizozizoea.

0 comments:
Post a Comment