Friday, October 9, 2015




Diana maarufu kama ‘Dada D’ akiwajibika kwa Madam Ritha.



Mariam Banka, ambaye ni mke wa mcheza soka maarufu nchini, Mohamed Banka, akimpamba mshiriki wa BSS, Steven Lupenza.
MWANADADA maarufu kwa kuwapamba masupastaa wa Bongo aitwaye Diana maarufu kama ‘Dada D’ ambaye ni mmiliki wa saluni maarufu ya American Nails iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam,hivi karibuni alibambwa na kamera yetu maeneo ya Kawe Beach wakati akimpamba Jaji Mkuu wa shindano la kutafuta waimbaji bora nchini lijulikanalo kama Bongo Star Sarch (BSS) wakati akijiandaa na shoo ya shindano hilo.
NA IMELDA MTEMA/GPL

0 comments:

Post a Comment