Posted by Williammalecela.com on Friday, October 30, 2015
Rais mteule Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia wakazi wa Dar es Salaam
alipokuwa akitoka katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Picha na zote na
Humphrey Shao Msafara wa Rais Mteule John Pombe Magufuli kuelkea Lumumba katika ofisi ndogo za CCM Mkoa wa Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete akisalaimiana na Rais Mteule John Pombe Magufuli Rais Kikwete akihutubia mamia ya wakazi wa jijini Dar es Salaam waliofurika kwa Magufuli wanachama wa CCM wakiwa wamekaa barabarani Rais Mteule John Pombe Magufuli akihutubia wana CCM katika ofisi ndogo za mkoa wa Dar es Salaam Spika wa Bunge Anna Makinda akiwa na Seif Khatibu wakifurahia jambo
Rais Mteule Dkt JohnMagufuli
Dkt John Magufuli akiwa na Makamu mteule Samia Suluhu wakionyesha cheti ch Asha Baraka Mwigulu Nchemba akiteta na Waziri mkuu
0 comments:
Post a Comment