Posted by Williammalecela.com on Thursday, October 08, 2015
Kwa
siku ya pili mfululizo nashuhudia umeme kutokukatika tangu zitolewe
kauli za wagombea wawili wenye nguvu [Magufuli & Lowassa]
Lowassa
amewatahadharisha kuwa wajiandae kuwajibika pindi atakapokuwa
madarakani, nae
mgombea Urais kupitia CCM John Pombe Magufuli amewapa
onyo kuhusu kukatika mara kwa mara.
Tangu jana naona Dar es salaam wamerudisha umeme, sijui mikoa mingine.
Tunaomba Hali iendelee hivi hivi
0 comments:
Post a Comment