Posted by Williammalecela.com on Monday, October 26, 2015
 |
| Bashe kashinda Nzega kwa kura 18,774 Makalanga wa UKAWA kapata 9,650, ambapo Geita Mjini Kanyasu wa CCM ameshinda kwa kura 34,953 na Luhoga wa UKAWA kura 26,303 na pia Dr. Kingwangwala wa CCM naye ameshinda tena kurudi bungeni. |
 |
| Dr. Kingwangwala ameshinda Nzega |
0 comments:
Post a Comment