Saturday, October 17, 2015

Deo Filikunjombe alikua mbunge wa Ludewa (CCM) ambaye alipata ajali ya Helikopta kwenye eneo la Selous na kufariki jioni ya October 15 2015 akiwa na
watu wengine watatu akiwemo baba mzazi wa aliyekua meya wa Ilala Jerry Silaa.  

0 comments:

Post a Comment