UKISTAAJABU
Musa, utayaona ya Filauni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa
kimataifa wa Italia, anayekipiga Paris Saint-Germain (PSG), Marco
Verratti kukiri kuwa yeye ni mwanamke.
Hiyo ni kafsha mpya ambayo
italisumbua soka la Ufaransa. Kwa mujibu wa mkutano wa waandishi wa
habari uliofanyika
jijini hapa hivi karibuni kwenye kambi ya des Loges, Marco Verratti aliweka wazi kuwa yeye ni mwanamke.
jijini hapa hivi karibuni kwenye kambi ya des Loges, Marco Verratti aliweka wazi kuwa yeye ni mwanamke.
Jina lake kamili
ni Marta, alitaka kuendelea kuificha siri hiyo akiwa na dhumuni la
kutotaka kuhukumiwa kutokana na uwezo wake uwanjani ukilinganisha na
jinsi yake:
.

0 comments:
Post a Comment