Sunday, October 11, 2015

Siku chache zilizopoita kuna habari zilisambaa zikizungumzia ndugu Reginald Mengi kuhama
kambi (tembelea - Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa)
Leo hii Reginald Mengi ameita vyombo vya habari kukanusha habari hiyo na kutoa tamko kama lilivyoainishwa hapa chini

0 comments:

Post a Comment