Posted by Williammalecela.com on Thursday, October 15, 2015
The Banji mpambe wa Amber Rose ambaye ni Tom boy kibongo jike dume,kila alipo star huyo yeye kazi yake ni kuhakikisha mdada huyo amekaa sawa kimavazi na
kimuonekano.The Banji anakampeni yake hiitwayo Tom Boy We Exist akiwatetea majike dume hao katika jamii.
0 comments:
Post a Comment