GARI YA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA NYASA LAPINDUKA
Kamanda
Ngwata kapata ajali mbaya baada ya dereva wake kuingia porini na
kusababisha kifo cha Kamanda Pompi kutoka Mbozi Mbeya ambaye alikuwa
huko kikazi.
Kamanda Ngwata na dereva wake wamejeruhiwa na wako
hospitali ya Wilaya ya Nyasa kwa matibabu lakini taarifa nilizopata sasa
Mgombea wako njiani kumuamishia Litembo Hospital hali yake ni mbaya na
amekata kauli.
Ilikuwa ni usiku walikuwa wanaelekea kijijini kwa
ajili ya kampeni za leo na inasemekana kuwa watu watatu wenye silaha
walitaka kuwateka njiani katika kukabiliana na hilo ndio Dereva akayumba
na gari likaingia korongoni..

0 comments:
Post a Comment