Wednesday, October 21, 2015


 Mh. Edward N. Lowassa mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, anyeungwa mkono na UKAWA amelala katika msiba wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Emmanuel Makaidi.


Madai ya Watanzania wengi kuwa Lowassa hawezi kuongoza nchi hii imejionyesha wazi. Tunatakiwa tufanye maamuzi sahihi sasa, maana tumeona anavyoweza kuliangamiza taifa letu kwa kukosa umakini katika mambo muhimu.
Cha muhimu wapigakura wanatakiwa kufanya maamuzi sahihi na bora kabisa ili kupata kiongozi wa taifa letu pendwa.

0 comments:

Post a Comment