Miss
Temeke (wapili toka kushoto) akiwa na Diamond na meneja wake Babu Tale
(kulia) kwenye chakula cha jioni siku ya Jumanne Octoba 13, 2015 kwenye
mgahawa Virginia. Missy T alimpeleka Dinner Diamond na meneja wake Babu
Tale kwa kumpongeza masanii huyo kwa kuweza kunyakua tuzo tatu kwenye
AFRIMA Awards zilizofanyika wiki iliyopita jimbo la Texas. Wengine
waliokuwepo kwenye chakula hicho cha jioni ni Seif Ameir na Mkewe Bi.
Nargis akiwemo Mume wa Miss T Bwn. Mohamed Matope. Diamond na meneja
wake walisimama Dulles kwa saa kadhaa wakiwa njiani kuelekea nyumbani
Tanzania.
Diamond, Seif na mkewe Bi Nargis wakiendelea na chakula cha jioni.
Miss T akipata ukodak moment na Diamond
Meneja wa Diamond, Babu Tale
0 comments:
Post a Comment