Posted by Williammalecela.com on Friday, October 02, 2015
 |
| Dr. Emmanuel Nchimbi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa akiongoza Mkutano wa Kumtafutia kura Magufuli na CCM na wana Vyuo Vikuu vya Mkoa wa Tanga sasa hivi live, ni siku mbili toka alipokanusha kujiunga na UKAWA kama ilivyokuwa imeenezwa na UKAWA wenyewe, pia Vigogo wengine wa CCM Mwandosya, Sophia Simba na Mwapachu walikanusha kujiunga na UKAWA. |
0 comments:
Post a Comment