Posted by Williammalecela.com on Wednesday, October 07, 2015
ITV Tanzania
Shirika
la umeme Tanzania -Tanesco limesema hali ni mbaya ya upatikanaji wa
umeme nchini kutokana na chanzo kikuu ambacho ni maji kuzalisha nishati
hiyo asilimia 18 tu ya uwezo wake na kwamba hali hiyo imewafanya washindwe kuita kukosekana huko umeme nchini kama ni mgawo au dharura.
0 comments:
Post a Comment