Sakata la Mkuu wa majeshi lililotikisa Mitandao Mbalimbali hapa nchini kuhusu afya yakehatimaye Mkuu huyo wa Majeshi amerejea Nchini kutoka kwenye ziara ya Kikazi nje ya Nchi,Mkuu huyo wa Majeshi hayaonekana Hadharani kwa Muda mrefu ndipo zikaanza taarifa za kulishwa chakula chenye Sumu.Taarifa kuhusu kurejuea kwake nimekuwekea hapa

0 comments:
Post a Comment