Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameonya na kuahidi kuwashughulikia watu wote watakaoamua kubaki kwenye vituo vya kupigia kura mara baada ya kupiga kura kwa madai ya kulinda kura. Amewasihi wapiga kura wote kurudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao zingine kwani zoezi la kulinda kura linafanywa na mawakala wa vyama vyao.Sunday, October 18, 2015
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ameonya na kuahidi kuwashughulikia watu wote watakaoamua kubaki kwenye vituo vya kupigia kura mara baada ya kupiga kura kwa madai ya kulinda kura. Amewasihi wapiga kura wote kurudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao zingine kwani zoezi la kulinda kura linafanywa na mawakala wa vyama vyao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment