Sunday, October 25, 2015

Inni Edo mwanadada mrembo na mwigizaji wa filamu nchini Nigeria ameachika kwa kuomba taraka kutokana na manyanyaso ya kutopata mtoto kwa miaka sita ndani ya ndoa.Afya yake imepungua kwa kiasi kikubwa na
kubaki modal.Tetesi za kuvunjika ndoa yake zilivumishwa sababu ikiwa kumsaliti mme wake lakini mwenyewe alikiri sababu ya kutoshika mimba.


1 comment:

  1. Wabongoo badooo
    WATU wanataka mili midogo NYIEE ETI WANASHINDA
    Bakini NA ubwanyenye WENU
    Unene Maradhi chela

    ReplyDelete