Monday, October 26, 2015

"Kuna mwandishi mmoja wa ITV leo wakati anatangaza matokeo akalitaja jimbo moja la huko Geita na akasema jimbo hilo 'tumepoteza' akimaanisha Chadema wamepoteza. Nikitazama na fulana ya mtangazaji pichani na gwanda wanazovaa...sishangai habari wanazoripoti. Ila anguko la Chadema ni anguko la ITV. Wataanguka. Wataumbuka."

0 comments:

Post a Comment