Picha ya mtumishi wa kike wa ndege aliyelala katika sehemu ya juu ya kuweke mizigo kwenye ndege ya shirika moja la China imepata waangaliaji wengi kwenye mitandao ya jamii.
Picha hiyo iliyoingizwa kwenye WeChat imeelezwa kuwa watumishi hulazimishwa na maafisa usalama kulala katika eno la mizigo baada ya ndege kufanya safari kwa saa 30 hadi 50, ikiwa ni tambiko.
Kitendo hicho kimeelezwa kuwa ni cha unyanyasaji na shirika la ndege la Kunming limetoa taarifa yake na kusema inalichunguza tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment