Mm. Mwanakijiji
MIMI SI ZEZETA NINA KUMBUKUMBU
~Chadema mlitumia mamilion ya fedha kutuaminisha LOWASSA ni fisadi tukaelewa na kumchukia leo mnatuambia ni shujaa bila kutueleza ukweli!
~Mlituambia kupitia Halima Mdee mkisimamisha fisadi tuwatose leo mnatuambia mabadiliko kupitia fisadi tuwaeleweje?
~Mlituaminisha kupitia Mchungaji Msigwa atakayemchagua au kumshabikia LOWASSA akapimwe akili, leo mmeanza nyie kumshangilia tuwaeleweje?
~Mlituambia kupitia Freeman Mbowe kuwa hakuna mbunge bubu na kiongozi dhaifu kama LOWASSA leo mnamuita shujaa tuwaeleweje?
~Mlituaminisha Hamtapokea makapi toka CCM leo mmeyapokea na kuwafanya mashujaa tuwaeleweje?
~Miaka minne ya kuiongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni mliwatenga CUF na NCCR MAGEUZI kwa madai wanatumika na CCM kiasi cha kuwabatiza CCM B na CCM C. Baadaye mkawajumuisha na leo mpo nao bila kufuta kauli za awali tuwaeleweje?
~Mlituambia kupitia msemaji wenu wa wizara ya Mambo ya nje Ezekiel Wenje kuwa CUF ni maliberali wanaotetea haki za ndoa za jinsia moja ikiwepo Usagaji na Ushoga. Hamkufuta kauli hiyo mpaka leo mpo nao,Je na nyie mpo mrengo huo sasa au tuwaeleweje?
~Mlituaminisha Waziri wa ujenzi Dkt. John Magufuli ni mchapakazi na ni Jembe kwanini tusimpe kura zetu leo?
MSITUFANYE DILI KWENYE SIASA. MIMI SI ZEZETA KAMA CUF NA NCCR MAGEUZI NAJITAMBUA SIYUMBISHWI.
#SautiYaMwanakijiji

well said mwanakijiji wanatufanya wtz wote hatuna uwezo wa kufikili.we waache tu.
ReplyDelete