PAROKO
wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Epifania Kijichi, Dar es Salaam, Respis
Mzena, amehoji matukio ya watu wengi hasa wanasiasa kufa katika kipindi
hiki cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kama ni mapenzi ya Mungu.
Paroko
huyo alihoji hayo wakati akiongoza ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa
mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe na wenzake wawili,
waliokufa katika ajali ya helikopta iliyotokea Alhamisi jioni katika
Pori la Akiba la Selous.
0 comments:
Post a Comment