Thursday, October 1, 2015

Katika akaunti yake ya facebook Prof. Mark James Mwandosya ameandika:-
"Mitandao ya mawasiliano leo imesheheni tena taarifa za Profesa Mwandosya kuhama. Napenda kuwathibitishia ndugu, marafiki, na watanzania wenzangu,
tena kwa ukweli kabisa, kwamba nahama, kutoka Dar es Salaam kwenda kijijini Lufilyo, Busokelo. Karibuni sana kijijini"-Prof. Mark James Mwandosya

4 comments:

  1. Umenichekesha mno prof. Watu walikuwa tayari kusubiri unahamia chama gani.. Haaaa kumbe kiji.. So talented.

    ReplyDelete
  2. ahsante baba ila umewakata kilimilimi wasuka njama

    ReplyDelete