Katikati ya mwezi September 2015 tuliipata good news kwenye kiwanda cha Muziki Tanzania, East Africa na Africa kwa ujumla ambapo list ya wakali wa muziki wanaowania Tuzo za MTV EMA 2015 ilitangazwa, kilichoongeza furaha ilikuwa kushuhudia majina ya mastaa kama AKA toka South Africa, Yemi Alade na Davido toka Nigeria na pia mkali toka Bongo +255, Diamond Platnumz nae alikuwemo pia kwenye list hiyo.
Good news nyingine ni kwamba Diamond Platnumz amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo moja ya Best Worldwide Act usiku wa October 25 2015 Jijini Milan Italy.
MillardAyoUPDATES: mtu wetu@diamondplatnumz ameshinda Tuzo ya#Bestworldwideact kwenye #MTVEMA2015zinazotolewa Jijini Milan Italy.
— millard ayo (@millardayo) October 25, 2015
U
0 comments:
Post a Comment