Posted by Williammalecela.com on Sunday, October 11, 2015
 |
| Baada ya kuripoti kwa muda mrefu wa kampeni toka zianze kuhusu LE MAFURIKOZ na HIROSHIMA za Magufuli na Viongozi wengine mbali mbali wa CCM wanapofanya mikutano ya kampeni, kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka upande wa pili kwamba aidha ninawaonea au picha za wingi wa Wananchi kwenye mikutano ya CCM zimetengenezwa so jana niliamua kwenda mwenyewe kwa mara ya kwanza kujionea mwenye na hizi ni picha nilizopiga mwenyewe kwa simu yangu. Now naomba ujiridhishe kama nilivyojiridhisha mimi binafsi kwamba hakuna picha ya CCM iliyowahi kutengenezwa ili ionekane wananachi ni wengi kuliko ukweli ulivyo kwenye mikutano hizi picha nimezipiga mwenyewe kwa simu yangu jana!! - Le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment