LEMUTUZ

Monday, October 12, 2015

THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK KWA NINI NINAWACHUKIA UKAWA NI WAONGO SANA NA WAZUSHI!!

Posted by Williammalecela.com on Monday, October 12, 2015
Musa Twaha Kitonge's photo.
Hizi ndio siasa za UKAWA uongo na uzushi all the times, hapa ni Kiborloloni Moshi Mjini nyumbani kwa Mgombea ubunge wa CCM Super Mogul Davis Mosha, na hii picha ilikuwa ni Mwaka 2012 tulikuwa tumeenda kwenye ubatizo wa mtoto wake ni nyumba ambayo ameijenga miaka mingi iliyopita ikiwa ni pamoja na kujenga kanisa kubwa hapo hapo Kiborloloni. Now mtu msomi kama Malisa anapokuja kupotosha ukweli inashangaza sana na hizi siasa za kitoto, UKAWA hamuwezi kushinda kwa mbinu za kitoto kama hizi mtashindwa tu cause hizi sio siasa ila ni ujinga usio na mfano! - le Mutuz Nation
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT