Monday, October 19, 2015

HE LIVE STRAIGHT TALK:- Morning People MKONO MTUPU HAULAMBWI ukiwa huna pesa in this life hakuna anayekutaka ni FACT OF LIFE ikubali uishi kwa amani na ikatae uishi na stress pigana na maisha utoke UKUBALIKE na watu hakuna binadam asiyependa kukubalika na wengine na hakuna binadam asiyependa kupendwa na watu kama ni Mamen unapenda kupendwa na Mabebezz na kama ni Mbebezz unapenda kupendwa na Mamen lakini the deciding FACTOR ni MBONGO! MONEY au PESA kama huna WAFWAZZZ....so usiwakasirikie wasiokutaka au kukukubali kwa sababu huna pesa usilie kwa sababu huna pesa na usilie kwa sababu mdogo wako anakuwa kaka yako kwa sababu ana pesa wewe huna sasa hivi in this life ni kawaida ...unakuta Mamen analalamikia Mabebezz kuwa wanapenda sana pesa hahaha ulitaka wapende nini Mamen? Ulipokutana naye si amependeza Nywele, viatu gauni ndani kapigilia body cover ananukia unadhani amelipia na nini? hahahha atakayejitolea "Kumrudishia" gharama zake ndiye atakayepata mahaba yake baby na usiombe kukutana na mahaba ya pesa yaani wewe unayanunua kutoka kwa mbebezz so anajifekisha cause kajua una pesa na hauna tatizo kumnunua lakini in the public anajifanya decent hahaha mapenzi yao yanakuwaga matamu hakunaga....guys it is a FACT OF LIFE hata mimi nimepitia hiyo Baba yangu alikuwa Waziri wa Serikali ya Mwalimu nikashitukia loong time nikiwa mdogo kuwa kama sikupigana kivyangu I am dead maana Mabebezz walishaanza kunipa za uso mapema sana in my life "Mtoto wa Waziri lakini hana kitu" hahaha sure nikaanza kupigana bila kumlalamikia mtu nikaenda zangu Mbelezz kupanda Meli enzi hizi ilikuwa nido njia kubwa ya wabongo kutoka siku moja nikarudi Baharia Fresh nina alama zote za M Sailor yaani miwani ya Ray Ben Mnyororo wa Gold shingoni, Raba Mtoni na bati yaani Jeans mpya halafu nilikuwa na Nguruwe left hand hahaha wabebezz wale wale waliokuwa wananicheka kabla sijaenda Mbelezzz wakanibadilishia kibao kuwa siku hizi nimekuwa bonge la HB hahahah Handsome Boy nikala nao Batazzz mpunga wote ukaisha ilikiwa ni kawaida kwa mbaharia zamani hahah nilikuwa na kiwanja nikauza nikakitoa Mbelezz tena hahaha..Mamen wacha kupigana na Ukweli tafuta pesa ukubalike hamna jinsi! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment