Mzee Kingunge naachana na CCM siendi chama chochote,
Mh Frederick Sumaye naondoka CCM ila sijasema nitajiunga chama gani,
Mimi nadhani hata Mh Lowassa kama sio zuio la kikatiba la kuwa ili uwe mgombea sharti uwe na chama basi naye angesema anahama CCM ila hajiungi na chama chochote Maana nyingine hivyo vyama Vya Upinzani hasa UKAWA haviaminiwi na hawa wanao ondoka huku,
Tafsiri hii inatoa ndani ya vyama Vya UKAWA sio mbadala kwa makada hawa Nje ya madaraka wanayo yasaka hawana dhamira na hawaviamini vyama hivi. Hili ndo swala kubwa la wana UKAWA kutafakari sasa hivi zikiwa zimebakia Siku 16 kabla ya Uchaguzi kufanyika.
Le Mutuz Nation

0 comments:
Post a Comment