Friday, October 16, 2015


@The King Of All Bongo Social Media Network getting Super Kiss from my bebezzz Super Model Mariam, now hatimaye my Super Dreams are here kuanzia next week nitaanza kuwa na kipindi changu cha "Le Mutuz Nation TV Show", ninategemea Ijumaa ijayo kuanza kurekodi kipindi cha kwanza!!
- Ninahitaji fans wa kushiriki nao kwenye hiki Super Special new TV Show, so kama unataka kujiunga nami tuma majina yako 2 at WATSAP +255 784 714 283 then utapigiwa simu na utafahamishwa zaidi na wapi uje Ijumaa kwa ajili ya the fisrt Shooting, I am humbled U know!!
- le Mutuz Nation


0 comments:

Post a Comment