Posted by Williammalecela.com on Thursday, October 08, 2015
Team Bajaji ambao wanazunguuka nchi nzima kwa Bajaji Jana walikua kahama wakizungumza na vijana wa Soko kuu la kahama na badae kuungana na Kishimba mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama Mjini kupitia CCM.
0 comments:
Post a Comment