Mercy Johnson akiigiza movie na kuvaa uhusika wa chizi hana mchezo.Ni tofauti sana na tasini ya bongo movies wasanii uleta ubishoo na ustar kazini.Hemedi na Ray huigiza na heleni sikioni hadi wakiwa ofisini,Sidhani
kama Wema,Kajala au Ndauka wanaweza kunyoa nywele na kuigiza kama mahousgirl,chizi au maisha ya kimasikini.Chausiku aliyoigiza Shamsa Ford anamaisha ya chini uswahilini kazi ni msusi lakini anawiki la elfu 80 hadi laki kadhaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment