MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kairima Ramadhani amesema hadi sasa NEC haijatangaza matokeo ya uchaguzi na amewataka wananchi wapuuze matokeo ya kura zilizopigwa leo ambayo yanasambazwa kwenye mitandao ya kijamii usiku huu kwasababu matokeo hayo ni uzushi sio sahihi,sio mali ya NEC na TCRA wapokazini na kuanzia kesho wale wote wanaosambaza matokeo hayo watakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo.Kairima kasema hayo hivi punde wakati akihojiwa na Televisheni ya ITV.
Sunday, October 25, 2015

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment