Tuesday, October 20, 2015

Mchezaji wa zamani wa Yanga Nsa Job amelazwa ICU KCMC baada ya kujeruhiwa kwenye ugomvi wa kampeni za siasa kati ya CCM na CHADEMA huko Kiborloni mjini Moshi.

0 comments:

Post a Comment