Subira Mgalu:- "hongera
shosti wangu mpaka sasa majimbo 8 kati ya tisa tushachukua ! ni jimbo
la rufiji tu ambako wanamalizia kuhesabu kwa urais Dr Magufuli kamuacha
mbali sana Mzee wa Monduli ! Wameisoma namba Pwani"
Ummy Mwalimu:- "Wera wera Mkoa wa Pwani Subira Mgalu"


0 comments:
Post a Comment