Leo nimefanya mikutano 7 ya Vijiji saba vya kata ya Msimbati nimeinadi ilani ya ccm na kumnadi diwani,mbunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr JP MagufuliKesho nitakutana na Magufuli Club za kata ya Mtimbwilimbi na Mtiniko pamoja na kuongea na halmashauri kuu na mabaraza yote jumuiya za chama.


0 comments:
Post a Comment