Saturday, October 31, 2015


Nimepita pita huko mitaani hasa Kinondoni, kwenye mahotel, mabar na kumbi za starehe, nimeshangaa sana kuona wakaka poa kibao, tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza kama Machangudoa



Nini hasa tatizo ?? Toa maoni na mtazamo wako juu ya suala hili labda tunaweza kupata wazo jipya kuhusu hawa watu…

0 comments:

Post a Comment