Sunday, October 11, 2015

Mgombea wa Urais wa UKAWA akiwa Arusha juzi live!!

Huu ni Mkutano wa Kaimu Katibu wa UVCCM Taifa Mh. Shasha jana Temeke Mwembe Yanga, hakuwepo mgombea wa Urais Magufuli.

Lowassa Arusha juzi akiwa na Kingunge.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Mh. Shasha jana Temeke at Mwembe Yanga, Waswahili wanasema Dalili za Mvua huwa ni mawingu kama ni kweli hizi picha zinajisema wazi kuhusu Dalili za matokeo ya huu uchaguzi. Maana pale alipo Lowassa ni nguvu ya Taifa ya Vyama 4 vya UKAWA na hizi picha zingine ni za UVCCM Taifa kwa kutayarishwa na Kaimu Katibu tu wa UVCCM na hii mikutano imefanyika Muda wa masaa 48 yaliyopita. Now ni muhimu wananchi wa Tanzania tukaanza kujitayarisha kisaikolojia na yanayoelekea kujisema mapema kuwa yatakuwa matokeo ya huu uchaguzi, kwani binadam mtumzima na akili zako kweli unahitaji kuambiwa ona hapa kuwa nani anaelekea atashinda huu uchaguzi? - Le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment