NA HAMIDA HASSAN
DIAMOND
upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua
mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali
iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo.
Awali, Tiffah
alivishwa hirizi hiyo siku chache baada ya kuzaliwa na Diamond
akaizungumzia kuwa, ni utamaduni wa kawaida ambao kwa mila za Kibongo
siyo tatizo.
0 comments:
Post a Comment