BIASHARA
imekwisha! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ‘kapo’ ya staa wa Bongo
Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss
Lady’ kudaiwa kuwa waliweka misingi ya penzi zito ili Diamond apate
mtoto hivyo baada ya mrembo huyo kujifungua Latifah ‘Tiffah’ miezi
miwili iliyopita, penzi halitakuwa motomoto kama zamani, Risasi Jumamosi
lina ‘full’ stori.Chanzo cha uhakika kilicho karibu na wawili hao,
kimesema makubaliano ya awali baina ya wazazi hao, yalikuwa ni kwa
mwanamke huyo raia wa Uganda, kumzalia mtoto Diamond ambaye alikuwa
akisaka ubaba kwa udi na uvumba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment