Album
mpya ya Adele, 25 imevunja rekodi kwa kuuza nakala milioni 3.38 katika
wiki yake ya kwanza nchini Marekani pekee, kwa mujibu wa taarifa za
Nielsen Music.
Staa huyo wa Uingereza amevunja rekodi hiyo tangu Nielsen ianze
kufuatilia mauzo ya album mwaka 1991. 25 iliyotoka Novemba 20 imekuwa
pia album ya kwanza kuuza nakala nyingi zaidi katika wiki ya kwanza.
Kwa Uingereza, 25 imevunja pia rekodi kwa kuuza nakala 800,000 katika wiki yake ya kwanza.
0 comments:
Post a Comment