#DUKALASIMU
Mmiliki wa duka la simu la #Sapna amekamatwa kwa makosa ya kukwepa kodi tangu muda mrefu. Mmiliki huyo pamoja na gari lake wameburutwa mpaka polisi na kufunguliwa kesi ya kuhujumu #uchumi.
Hawa wafanya biashara ndio ambao walikuwa wana msupport #Lowassa ili hawe rais kwa sababu walijua nini wanafanya. Mh Rais #JPM muda umefika sasa kwa wafanya biashara wote kutumia mashine za #TRA ili kutoa listi za malipo kwa wanunuaji.

Wakwepaji kama hawa ndio walikuwa wanawasababishia shida #mamantilie na #bodaboda kulipa kodi kubwa. Wakwepaji kama hawa wametunyanyasa sana mjini na magari yao.
Muda umefika wa kuwafilisi mali zao zote wale wakwepaji wa kodi.
#SASANIKAZITU

0 comments:
Post a Comment