Wednesday, November 18, 2015

Wabunge wakiwa Bungeni jana, Picha na Edwin 

Baada ya wabunge kumchagua Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuwa Spika wa Bunge la 11 jana, anayesubiriwa ni Waziri Mkuu mpya ambaye anatarajiwa kujulikana saa 36 zijazo.

0 comments:

Post a Comment