Mchumba wa Wastara Mr Bond Amefunguka Haya Kwenye Ukurasa wake wa Facebook:
"Alhamdulillah
Namshukuru mungu kwa kunisimamia kwa hili jambo kwani haikuwa kazi rahisi kuachana na kila
kitu na kuamua kutafuta upya maisha yangu halisi na yaukweli
kitu na kuamua kutafuta upya maisha yangu halisi na yaukweli
Pia nashukuru wote mlioniombea mema katika siku hizi arobaini za kukaa Sober mungu atawalipa kwa dua zenu
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment