Saturday, November 28, 2015
BREAKIN NEWZZ!!:- ALLEN ANARIPOTI KUKAMATWA KWA WAKWEPA KODI WAKUBWA NCHINI LEO NA SERIKALI YA MAGUFULI LIVE!!
Posted by Williammalecela.com on Saturday, November 28, 2015
Allen Kicharungu - (Facebook)
#
BREAKINGNEWSSSS
Makontena 54 yalikwenda kwa Bakhresa bila kulipia kodi na tayari tangu jana Azam ICD General Manger kalaliwa yupo lupango
Hasara toka kwa Azam ICD kwenda kwa serikali ni kiasi cha shilingi bilioni 12. Mtoto wa Bakhresa alitaka kwenda kulipia lakini kaambiwa abakie na pesa zake na
#
TRA
wanapiga mahesabu ya adhabu ya kukaa na pesa ya serikali.
#
HABARINYINGINE
Bosi wa "home shopping centre"
Kadakwa wakati akitaka kutoroka katika mpaka wa namanga alikuwa analala mbele ametulizwa kaambiwa tunahitaji passport yako.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment