Posted by Williammalecela.com on Monday, November 16, 2015
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Jerome Bwanausi,
atangazwa mshindi katika Jimbo la
Lulindi mkoani Mtwara kwa kupata kura 17,715 baada ya kufanyika kwa
marudio ya uchaguzi uliofanyika jana.
Ushindi wa Jerome umetangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
0 comments:
Post a Comment